Toyota Harrier Inauzwa

Jamaa hajui marketing kabisa anasema gari ni zima halafu kalipigia picha gereji huku chini kwenye matairi kaweka mawe halafu gari chafu kinoma
Ha ha ha mbona hiii gar imekuuma sana mkuu,gar ni yangu nimeamua kuuza,sawa umesema ni mbovu nimekubali Bado ukasema chafu nikasema sawa Sasa umeona na mawe chini ya tairi duuh...

Picha haiuzi gar mkuu ni kuonesha tu hiyo gar ipo vipo ila kama mnunuaji basi atataka alione ili akague ndio maana Kuna namba za mawasiliano..na kumbuka Kuna wenye uhitaji huwa wananunua hayo magari yaliyopo gereji..

Nb:unanitoa kwenye mada ila ngoja nikujibu tu hapo sio garage ni sehemu ya kupak magar ambapo huwa naacha gar nikiwa kwenye ofsi ambayo ipo karibu na hiyo parking ya magari...mm sio dalali hivyo unaweza kuwa sahihi sijui marketing ila nilichopost kwa asilimia 100 ndio nachokiuza hizo mbwembwe nyingine siziwezi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa chief next time ntafanya hivyo shukrani sana.. at least umetoa ushauri kwa Nia ya kuboresha sio kuponda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka nifanyaje ili uuone huo userious unaoutaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndg biashara haihitaji hasira wala panic, baki kwenye utulivu, kwani kuna mtu anaweza kukuuliza swali la maudhi, lengo ulijibu kwa misingi ya maudhi ili uonekane huna maana.
Ni lazima ujue una deal na watu wa aina gani, ukweli ukisha weka no yako kwenye tangazo, kwa uzoefu wangu hapa jf wahitaji walio wengi, huwa hawana muda wa kuanza kuandika chochote hapa, zaidi wanapiga simu.

Lakini tukirudi kwenye hoja ya msingi, gari kuwepo Gereji haimaanishi ni mbovu. Service za magari hazifanyiki majumbani ni Gereji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie sijaumia wala nini ila nina uhakika umejifunza kitu kutoka kwenye comments zangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…