Kuna gari nimeishobokea sana huko home, TOYOTA WiLL, vipi zinapatikana kwa shilingi ngapi? Matatizo yakeMikoani ndiyo nna wadau wengi chief gari inaweza ikawa dar mteja wakawa mkoa biashara ikafanyika tu
Ova
Asante sana kwa kujaliNi gari imetengezwa vzuri,kwenye ulaji wa wewe iko vizuri,hata vipuri kiasi fulani zinapatikana
Ova
Nina Harrier model nyuma ya hio. Naweza kupata bei gani nikiiuza? Namba C very well maintained.Usijali ntakustua!uuzaji wa Magari ni moja ya shuguli yangu mkuu
Ova
NI front Wheel chief
Ova
NI front Wheel chief
Ova