Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Naona mashine imelala hapo mwaka wa pili sasa!!
Nadhani kwa biashara za shamba hii inafaa sana. Ni toyota roho ya paka hii alafu 97 bado inadai kishenzi
Kumbe ipo juu ya mawe!
haina ya hii gari ni nzuri sana. Inabeba kweli alafu ina roho ya paka. Nimekuwa nayo moja na iliweza kununua magari mengine manne ikiwemo canter, lenyewe bado ninalo linabeba ruti ya Njia panda hadi Himo
Kweli haya magari magumu sana. Yaani sana. hata siyo tulikuwa nalo moja la kubebea mazao kutoka shamba hii gari inajilipia lenyewe, alafu spea zake ni rahisi kuliko za canter. Ningekuwa na hela ningelinunua kwa sababu hela anayoomba muuzaji ni ya chini sana. Hii unatengeneza. hicho kifaa nadhani siyo hela nyingi kivile
sijui unaweza chukua hela nusu?
Nusu itakuwa ni vigumu sana
Mtajie bei ya Mwisho maana keshatangaza Nia huyo
naomba kujua bei ya oilpump na nikiitaji uniletee hadi shinyanga itawezekana?