Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,285 Dec 1, 2015 #1 Toyota Corolla ya mwaka 1999 inauzwa kwa 3.5m (milioni tatu unusu tu) ni Manual bado AC yake nzima Body na hata viti engine ni 5A cc 1498 ipo Dodoma na kwa maelezo zaidi ni PM nikupe contact za muhusika kwani Negotiable kasema ipo Attachments IMG_20151201_071009.jpg 250.5 KB · Views: 422 IMG_20151201_071032.jpg 250.4 KB · Views: 405 IMG_20151201_071245.jpg 299.4 KB · Views: 402
Toyota Corolla ya mwaka 1999 inauzwa kwa 3.5m (milioni tatu unusu tu) ni Manual bado AC yake nzima Body na hata viti engine ni 5A cc 1498 ipo Dodoma na kwa maelezo zaidi ni PM nikupe contact za muhusika kwani Negotiable kasema ipo
Habari ya Mujini JF-Expert Member Joined Dec 22, 2013 Posts 2,518 Reaction score 1,046 Dec 1, 2015 #2 Chukua mbili mkuu..!
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,285 Dec 2, 2015 Thread starter #3 Habari ya Mujini said: Chukua mbili mkuu..! Click to expand... nimekuelewa Mkuu lkn tairi 5 pamoja ni wheel cap inavuka 750,000/= injini, R/licence BIMA ongeza Mkuu
Habari ya Mujini said: Chukua mbili mkuu..! Click to expand... nimekuelewa Mkuu lkn tairi 5 pamoja ni wheel cap inavuka 750,000/= injini, R/licence BIMA ongeza Mkuu
N newazz JF-Expert Member Joined Mar 28, 2009 Posts 935 Reaction score 949 Dec 2, 2015 #4 Mkuu hiyo ni kwa watu dodoma tu na jirani tu naona. Walio nje inakuwaje... Ungekuwa Dar,,, ningetaka tuwasiliane.
Mkuu hiyo ni kwa watu dodoma tu na jirani tu naona. Walio nje inakuwaje... Ungekuwa Dar,,, ningetaka tuwasiliane.