Nadhani huyu jamaa ametoa offer stahiki kwa hiyo gari ukiangalia uhalisia wake.
Mpe gari hiyo mkuu. Ofa aliyoweka na hali halisi kwa sasa unaweza ukakaa mwezi au miezi tena kuja kupata mteja

We nakuhakikishia utakuja kuikumbuka hiyo 7.5 we jifanye ooh gari iko vizuri. Carina mpya inatoka japan watu wanauza 9M. Sasa hiyo ushaendesha weeeeeeeee bado unakataa 7.5!