Biashara yoyote ile mkuu ni maelewano tu, na hasa kama unasema ulishawahi kuuzia mbuzi kwenye gunia basi saiv ni haki yako kuhakikisha hicho hakijirudii maana ww ndo mfalme. Usijali lakin hii gari nzima kabisa ukitaka njoo na fundi wako ujihakikishie mwenyewe!!