Kuna mtu fulani alikuwa na hiyo gari ni nzuri sana sana ila tatizo likaja kusumbua gearbox yani alitafuta enzi hizo mwanza nzima hakufanikiwa mwishoni aliishia kuipaki ikawa kama pambo sasa sijajua kama ilikuja kutengemaa na kurudi barabarani.Ila kwa kifupi spea zake ni shida kuzipata