Toyota altezza inauzwa

Alama ya kuuliza maana yake nini?
Madalali nendeni shule

Nataka kujua, je, original engine ya Toyota iliibiwa ndio ikafungwa engine ya boda boda?
Sasa angalia hii engine ya hii gari, nadhani sasa umeelewa, tena ningeweza kusema engine ni 3S-GE wataalamu wangeelewa
Haya uliza swali lengine nadhani hili tumeelewana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…