Alteza ipo bei ni mil 9 ngoja nitakutumia picha mkuu. Au nicheki kwa namba 0716805201.Kama unauza Toyota Alteza ya 2002 mpaka 2004,km ilizotembea zisizidi au ziwe sawa na 90,000km,rangi iwe
SILVER,WHITE, BLACK na BROWN,Iwe na registration no.CD...mpaka CY... na kuendelea au mpya kabisa ambayo haina reg.# bei
iwe 8M mpaka9M anicheki apa 0755 927881,as its urgently needed.. make sure unaweka picha ili gari ionekane.
(isiwe imewahi pata ajali)
Kama pia una benz yenye vigezo kama hivyo apo juu naomba tuwasiliane..uweke picha kwanza...
Kama unauza Toyota Alteza ya 2002 mpaka 2004,km ilizotembea zisizidi au ziwe sawa na 90,000km,rangi iwe

weka picha babaa!

donald hii gari ipo magomeni haijatumika sana still nzima kabisaaaa inauzwa mil9 net net we mwenyewe utaipenda. For more detail ni cheki kwa namba hii 0716805201. Trust me.mkuuu nimeona picha but vegezo na masharti kuzingatiwa...! Number iwe cd...mpaka cy...
But si issue let me know your price...!
hii hapa mr wewe tu
gari haina tatizo lolote lile. Wewe tu
achana naye huyo, hana pesa huyo anakuzingua
MKuuu nimeona picha but vegezo na masharti kuzingatiwa...! number iwe CD...mpaka CY...
But si issue let me know your price...!
MKuuu nimeona picha but vegezo na masharti kuzingatiwa...! number iwe CD...mpaka CY...
But si issue let me know your price...!
Watu wengine sijui hamna kazi za kufanya, mtu anaweka tangazo,ya kuwa anahitaji kitu fulani,alafu from no where mtu unaanza kuweka comments za chafu "achana nae huyo,hana pesa huyo anakuzingua"@ Msarendo.
Unifahamu,sikufahamu,kwa nini unaweka maneno ambayo hayajengi wana JF ??
Naomba uache mara moja na uwe na heshima na posting za watu,heshima kitu cha bure!
MKuuu nimeona picha but vegezo na masharti kuzingatiwa...! number iwe CD...mpaka CY...
But si issue let me know your price...!
Njoo uchukuwe ya kwangu namba CTW ila ilishawahi kupata ajali.