Rutayuga91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 449
- 250
search how to start ur phone in recovery mode(something like that), connect it kwenye Odin(unaweza itafuta ukadownload), then tafuta a custom recovery(clockworkmod) for ur phone u flash it in, then flash a new ROM(custom) kutumia hyo custom recovery au tumia Odin ku flash a stock ROM ambazo unaweza uka download ...kuna kipindi nili jarb kuchezezea simu yangu na kubaini kuwa kuna kitu wanakiita rooting!! nikaroot cmu!!
nikaona kuna kitu wanakiita custom ROM (unachange OS ya simu hata kuupgrade OS) nikatupi JellyBlast (same as Jellybean 4.1)
Ila bwana kuna cku nikaona 'touch screen firmware update' by dialing *#*#2663#*#* kisha nikahit update (Don't try this at home)
Ckuwa na net so nikahit home ili kwenda kuactivate net! ikawa ndo mwisho wa kuandroidika! touch haifany kaz mpaka leo!!
Nimejarb kuitibu ila solution iliyopo ni ya Samsung Galaxy Mini!!
kama kuna mbabe anajua namna ya kusolve tatzo hili anisaidie!!!
Nasisitiza usije ukadial hiyo code kwan watu wengi washaathirika na hiko kitu!!!!
Clockworkmod tayar nnayo!!search how to start ur phone in recovery mode(something like that), connect it kwenye Odin(unaweza itafuta ukadownload), then tafuta a custom recovery(clockworkmod) for ur phone u flash it in, then flash a new ROM(custom) kutumia hyo custom recovery au tumia Odin ku flash a stock ROM ambazo unaweza uka download ...
I`ve done these things so much...
Ukiweka Jellyblast custom ROM kuna sehemu itakupa secret codes kama kujarb vibration, sound na vinginevyo ving tu!!Your phone is Dead mkuu,
.
Code ulizitoa wap mkuu?
Mbona hawakukupa Warning!
Ukiweka Jellyblast custom ROM kuna sehemu itakupa secret codes kama kujarb vibration, sound na vinginevyo ving tu!!
Warnign pekee iliyowekwa ni kuwa 'don't turn off ur phone'
Ila kuhusu simu kufa ckubaliani na wewe coz washkaji wenye Galaxy MIni washalisolve hilo tatizo!! Pia ukiwa mtabe si vema kukubali mambo kirahisi kihivyo!!
C++,galaxy yako ilifanyaje!?,
Naweza iponyesha kama ikiwa ime SOFT BREAK,
Ni elezee ulichafanya mpaka sasa na ulipogotea
nili jail break mkuu kwa ku2mia Chainfire's CF-Root
package.
.[/QUOT
Okey,ukiingia kwenye odin mode inakubali!?,
Ukiwasha inaishia kwenye boot screen right!?
nili jail break mkuu kwa ku2mia Chainfire's CF-Root
package.
.[/QUOT
Okey,ukiingia kwenye odin mode inakubali!?,
Ukiwasha inaishia kwenye boot screen right!?
hata ku boot ina stack kabisa mkuu!
hata ku boot ina stack kabisa mkuu!
ukiwasha inaandika nini ama inaonyesha nini!?(mostly ukisha iflash hata kuchaji inashindwa tambua unapo plug charger),
so make sure unaichaji hiyo betri separately alafu download drivers bila kutumia kies(na ukiwa una unroot usi run kies hua inaingilia accidentaly)
hata ku boot ina stack kabisa mkuu!
Download stock rom from sumsungis.com,sa hivi wanashida kidogo hotfile wamefungiwa so wanaamisha kwenda servers zingine za terafile.com,
ukipata una extract kawaida then through PDA unaiweka kwenye simu inaweza chukua mpaka dk 10 hata kama haionyesh kitu labda yellow triangle au phone-triangle - pc mark

shukrani mkuu nta fight!
shukrani mkuu nta fight!
ukitulia na kua tayari na pc yako ni pm tuelekezane hatua kwa hatua,nyingi tu nimeziamsha,though ina weza chukua ucku mzima
Download stock rom from sumsungis.com,sa hivi wanashida kidogo hotfile wamefungiwa so wanaamisha kwenda servers zingine za terafile.com,
ukipata una extract kawaida then through PDA unaiweka kwenye simu inaweza chukua mpaka dk 10 hata kama haionyesh kitu labda yellow triangle au phone-triangle - pc mark
shukrani mkuu nta fight!
Hi ni error mkuu nashangaa na fanya mishe zangu najikuta narudi tena huku na ina ji auto reply yenyewe, hata sielewi, sijui ni browser yangu au vg
.
Hata hapo juu nilipo delete ilikuwa ni auto reply sijui kwann
Nami na shida hiyo bt siku root nilikutana na izo code nikatupia ikaleta warning "dont turn off" sa simu haikuwa na chaji ikazimika mpaka leo touch haifanyi kazi ipo tu