Kama hajaanza kwenda shule.Tetesi ni kuwa Toto Afya tuliyokuwa twailipia kwa 50400/ kwa sasa hutaweza ilipa binafsi...
Utailipa kupitia shule asomayo mtoto au kwenye kifurushi kinachojumuisha mzazi.
Kazi kwenu sasa
NHIFTZ
Tusaidieni hapa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mpeleke kwa mganga wa kienyeji hauhitaji KadiKama hajaanza kwenda shule.
Wanatuyumbisha, na watoto wadogo walivyo na changamotoKama hajaanza kwenda shule.
Ni kwamba huyo mwanao, ikitokea bima yake imeisha muda, basi utatakiwa umkatie kwenye kifurushi unachohusishwa wewe pia au umkatie kupitia shuleLabda wanataka kuleta bima kwa wote
Ila hawa hawaeleweki wanafutaje muda haujaisha
Shulen utaratibu umeanza lini?wametoa maelekezo lini🤦🏻Ni kwamba huyo mwanao, ikitokea bima yake imeisha muda, basi utatakiwa umkatie kwenye kifurushi unachohusishwa wewe pia au umkatie kupitia shule
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kama wamefuta kweli hizo zitaendelea kutumika Ila kwa Wale wapya ndio hawatoruhusiwa kukata Tena Bima hiyo.Duh!nililipia june hapo juzi tu ndio nimepata kadi ya Mtoto na kuna wengine wanaendelea kukata kama wamesitisha kweli basi utakua sawa na utapeli
wewe mtoa uzi ni mpumbavu wa kiwango cha juu.Tetesi ni kuwa Toto Afya tuliyokuwa twailipia kwa 50400/ kwa sasa hutaweza ilipa binafsi...
Utailipa kupitia shule asomayo mtoto au kwenye kifurushi kinachojumuisha mzazi.
Kazi kwenu sasa
NHIFTZ
Tusaidieni hapa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app