M Mnyaluhala. JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 1,430 Reaction score 1,789 Nov 28, 2013 #1 Habari zenu. natafuta keyboard ya toshiba satellite L505. kwa anayejua duka zinapopatikana na bei yake anisaidie. laptop ilianguka nataka nibadili keyboard.
Habari zenu. natafuta keyboard ya toshiba satellite L505. kwa anayejua duka zinapopatikana na bei yake anisaidie. laptop ilianguka nataka nibadili keyboard.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Nov 28, 2013 #2 Kuna jamaa wapo Mwenge opp msikitini wanauza laptop accessories na spare parts
M Mnyaluhala. JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 1,430 Reaction score 1,789 Nov 29, 2013 Thread starter #3 hekimatele said: Kuna jamaa wapo Mwenge opp msikitini wanauza laptop accessories na spare parts Click to expand... Unaweza kunipa contact namba zao nikawatafuta.
hekimatele said: Kuna jamaa wapo Mwenge opp msikitini wanauza laptop accessories na spare parts Click to expand... Unaweza kunipa contact namba zao nikawatafuta.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Nov 29, 2013 #4 Mnyaluhala. said: Unaweza kunipa contact namba zao nikawatafuta. Click to expand... Hata ukipita hiyo mitaa ndo itakuwa mwanzo wa kuwa tafuta. Namba zao sina mkuu
Mnyaluhala. said: Unaweza kunipa contact namba zao nikawatafuta. Click to expand... Hata ukipita hiyo mitaa ndo itakuwa mwanzo wa kuwa tafuta. Namba zao sina mkuu
Torch JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 1,205 Reaction score 1,139 Nov 29, 2013 #5 hekimatele said: Hata ukipita hiyo mitaa ndo itakuwa mwanzo wa kuwa tafuta. Namba zao sina mkuu Click to expand... wewe jamaa kila thread upo
hekimatele said: Hata ukipita hiyo mitaa ndo itakuwa mwanzo wa kuwa tafuta. Namba zao sina mkuu Click to expand... wewe jamaa kila thread upo