directortanzania
Member
- Jul 4, 2013
- 38
- 23
ahsante sana. wengine mnasemaje?Asusn nzuri sana
Asus, Lenovo mchina original
hp ni loptop nzuri hila hizi nyingi mchina anatengeneza underlessen so kama unataka hp kama yuko marekani utapata original hp hila kama hayuko huko basi utapata za mchina hila inategemea hiyo product inakwenda kuzuwa wapi afrika asia uarabuni au wapi ss ukipata hp ya urabuni ni bomba.sana.au ukipata ya ulaya pia safi hila usichukuwe ya afrika hiyo ni matatizo bora ununue used hpWadau,
Naomba kuuliza kati ya Laptops zifuatazo ipi nzuri? Kwani nina jamaa yangu yuko Ulaya na ninataka nimuagizie laptop mojawapo, hivyo naomba ushauri kuhusu ipi nzuri kati ya:
1. Toshiba
2. hp
3. Isus
4. Samsung
Ahsanteni sana.
hp ni loptop nzuri hila hizi nyingi mchina anatengeneza underlessen so kama unataka hp kama yuko marekani utapata original hp hila kama hayuko huko basi utapata za mchina hila inategemea hiyo product inakwenda kuzuwa wapi afrika asia uarabuni au wapi ss ukipata hp ya urabuni ni bomba.sana.au ukipata ya ulaya pia safi hila usichukuwe ya afrika hiyo ni matatizo bora ununue used hp