HABARINI MARAFIKI ZANGU
ukitaka kufurahi furahi kwa raha zako
ukitaka kujiachia jiachie kwa raha zako
ukitaka kujiunganisha ki:A S soccer: jiunganishe bestito
ukitaka kujikataa jikatae kimpango wako shosti
ukitaka kujifariji wakati magumu yamekuzonga
jifariji na jitie moyo kwa raha zako bila ajizi
Ukitaka kujichekesha kwa sinema hii hapa
jichekeshe , jifurahishe na jipendeze mwenyewe
mabestito nisaidie kutofautisha picha hii maana
mm nilijaribu nimeshindwa kabisa na imenibidi
nibaki mdomo wazi nikishangaa kwa kufurahi
ona hapa
View attachment 119634