Hahahah wabongo wengi wako kwa "temporary love of an adolescent" ndio hiyo infatuation...lol unalikuta jitu zima zee kabisa eti hayuko kwa love bado ana hangaika na u-adolescence lakini yeye hiyo ndio anaaita love..waafrika wachache sana tunaojua what is love bhana[emoji4][emoji4]waliobaki wote ni "infatuation of infallible"
πππππSawa sawa mama Terry