....Toa maoni yako kupitia picha hii !!!!!

ctaki kuamini ninayoyaona kwenye hyo picha ni kile chama changu kinachoongozwa na mshua
 
Haa inatosha inatosha - wa upande wa kulia hao

Angekuja na huku basi - wa upande wa kushoto (kimoyomoyo)

Aendelee kutuburudisha - wa katikati hapo mstarini (nao kimoyomoyo pia)
 
Haa inatosha inatosha - wa upande wa kulia hao

Angekuja na huku basi - wa upande wa kushoto (kimoyomoyo)

Aendelee kutuburudisha - wa katikati hapo mstarini (nao kimoyomoyo pia)

...wamemtolea mate sijuwi kama alisalimika !!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…