Mahabuba,
Go East go West home is best.
Tized nimekumiss mahabuba wangu, Niko hoi taabani sijiwezi njoo unitibu daktari wangu. Wewe ndo wajua ugonjwa wangu, ukinipima presha joto linashuka, ukiniwwka themometa mapigo yanapanda..... Sijielewi sijitambui Kasie hoi taaban..... Asalaan mahabuba huko uliko him a Fanya uje na ile Pima kifu na mgongo mwenyewe wanaita horoscope. ..
Tized and
Kasinde couples for life though kuna ups and down kutoka na kuingia
Home is best. Am missing u
Tized.....
Niko horohoro mwenzio.....
Post from Bagamoyo beach....