Ting HD decoder kwa anayehitaji

samtot

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
261
Reaction score
148
HABARI. ninauza dikoda ya ting hd kwa sh.70,000 tu na kimetumika kwa mwezi mmoja. anayehitaji anitumie pm.
ASANTE.
 
hiyo 50,000 ni ndogo sana. halafu bado kipya.
 
hiyo ni ya antena ndugu
 
Ah! hao Ting wapo kidini zaidi, wamejaza mi channel ya dini.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
mm ninahitaji king'amuzi cha STAR TIMES kwa alienacho nina cash ya sh. 35000/=. mwenye nacho ani PM.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…