Timu za Spain Zatesa!!!

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,380
Reaction score
139,165
Sevilla wamebeba kombe la EUROPA baada ya kuifunga BENFICA kwa mikwaju ya penati. Wakati huo huo tunasubiria fainali ya champions league hivyo makombe yote msimu huu yatatua spain!!
Hongera LA LIGA!!!
 
Benfica walimkosea sana yule mzee wa watu myahudi.sijui wafanyeje maana alishakufa,hakuna wa kumuomba msamaha,ni vichapo fainali za ulaya hadi miaka 100 ipite.dhuluma mbaya.rest in peace Bela Guttmann.
 
nilisikia hii habari juu,hebu nifafanulie,eti alisema hawatashinda mpaka miaka mia??
 
bella Guttaman hawakumlipa posho baada ya misimu miwili kushinda europa cup akawaambia hawatashinda kombe lolote mpaka miaka mia ipite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…