Hapana, hicho ndio kipimo cha kwanza kuingia kwenye mtoano.Wakiiingia Robo Fainali hapo ndio itakuwa kipimo kizur sana kwa Team za Epl Kujua Ubora wao.
Ila so far Wamejitahid ila uwepo wa makocha hawa imesaidia sana kufanya lligi iwe na ushindan kwa maana wote hao wanaangalia mafanikio ya Champions League kama kipimo tosha cha mafanikio ya Team zao.
Man City - Guadiola
Man Utd - Jose Msema ovyo
Liverpool - Klopp
Chelsea - Konte
Totenham - Pochetino
Nafikiri ilikuwa wapoteze nafasi moja kama wangeendelea kusuasua kama misimu michache nyuma.Wakiiingia Robo Fainali hapo ndio itakuwa kipimo kizur sana kwa Team za Epl Kujua Ubora wao.
Ila so far Wamejitahid ila uwepo wa makocha hawa imesaidia sana kufanya lligi iwe na ushindan kwa maana wote hao wanaangalia mafanikio ya Champions League kama kipimo tosha cha mafanikio ya Team zao.
Man City - Guadiola
Man Utd - Jose Msema ovyo
Liverpool - Klopp
Chelsea - Konte
Totenham - Pochetino
Sijakataa ndio maana nikasema kipimo kizur zaid kwa mafanikio ni kuingia robo fainal maana kwenye makundi hakuna ugumu sana kama ilvyo robo fainaliHapana, hicho ndio kipimo cha kwanza kuingia kwenye mtoano.
Nafas yao ilikuwa ichukuliwe na Team za Italy nafikr ile mwaka jana kuna kiwngo cha points ambazo team za italy walitakiwa kufikisha ambazo hawakufanikiwaNafikiri ilikuwa wapoteze nafasi moja kama wangeendelea kusuasua kama misimu michache nyuma.
Uefa wanaanza kuhesabu hapo. Kwahiyo mwakani itaongezeka nafasi moja.Sijakataa ndio maana nikasema kipimo kizur zaid kwa mafanikio ni kuingia robo fainal maana kwenye makundi hakuna ugumu sana kama ilvyo robo fainali
Mbona haraka ivo?Man u ndio ataefuzu hatua ijayo
Yeah Italy walikuwa nyuma sana, its complicated formula kupata points.Nafas yao ilikuwa ichukuliwe na Team za Italy nafikr ile mwaka jana kuna kiwngo cha points ambazo team za italy walitakiwa kufikisha ambazo hawakufanikiwa
Uefa wanaanza kuhesabu hapo. Kwahiyo mwakani itaongezeke nafasi moja.
Hamna nafasi itakayoongezeka. England,Spain na Germany wanapewa nafasi NNE tu, huku Italy,Portugal na France wanapewa nafasi tatu kwa mujibu wa Euro coefficient(perfomance). England wamepata tano kwasababu MAn Utd kashinda Europa League na kamaliza nje ya top 4.Uefa wanaanza kuhesabu hapo. Kwahiyo mwakani itaongezeke nafasi moja.
Mbona unajipinga mwenyewe? Au hujui, tulia nitakuelewesha.Hamna nafasi itakayoongezeka. England,Spain na Germany wanapewa nafasi NNE tu, huku Italy,Portugal na France wanapewa nafasi tatu kwa mujibu wa Euro coefficient(perfomance). England wamepata tano kwasababu MAn Utd kashinda Europa League na kamaliza nje ya top 4.
baadhi wanaweza kupangwa kundi moja hivyo kujihakikisha baadhi ya nafasi inayofuataMWISHO WAO ROUND INAYOFUATA
Mbona unajipinga mwenyewe? Au hujui, tulia nitakuelewesha.Hamna nafasi itakayoongezeka. England,Spain na Germany wanapewa nafasi NNE tu, huku Italy,Portugal na France wanapewa nafasi tatu kwa mujibu wa Euro coefficient(perfomance). England wamepata tano kwasababu MAn Utd kashinda Europa League na kamaliza nje ya top 4.
Ingekuwa UK wanatakiwa wawe na nafasi 4 tu, kama ulivyosema. Basi mshindi wa 4 angeondelewa ili Man U achukue nafasi yake. Kama ameenda na Man U wameenda ujue hujui taratibu zake.Mbona unajipinga mwenyewe? Au hujui, tulia nitakuelewesha.