Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,910 Reaction score 40,575 Nov 26, 2022 Thread starter #21 FT 1-1
Dish JF-Expert Member Joined Jun 3, 2019 Posts 628 Reaction score 930 Nov 26, 2022 #22 Bila bila said: Leo tena Ile timu ambayo Wachezaji wote ni mabeki, wote ni viungo, wote ni mawinga na wote ni washambuliaji. Waanzilishi wa TOTAL FOOTBAL wako uwanjani na Dunia yote ina furaha. Dakika 18 Oranje 1(Gakpo) - 0 Ecuador. Click to expand... Hamfiki mbali na orange yenu! mkikutana tu na giants kwaher
Bila bila said: Leo tena Ile timu ambayo Wachezaji wote ni mabeki, wote ni viungo, wote ni mawinga na wote ni washambuliaji. Waanzilishi wa TOTAL FOOTBAL wako uwanjani na Dunia yote ina furaha. Dakika 18 Oranje 1(Gakpo) - 0 Ecuador. Click to expand... Hamfiki mbali na orange yenu! mkikutana tu na giants kwaher
Moshi25 JF-Expert Member Joined May 6, 2022 Posts 2,812 Reaction score 4,415 Nov 26, 2022 #23 Timu JAPAN wenzangu tukutane hapa kina toyota na suzuki inamoto nk. Team Japan tutaendelea kuangusha mibuyu na kombe litashuka Tokyo. Celebration za Japan zitamalizikia Jangwani unbeaten klabu kwa wananchi maana Japan tunabeba ndoo ya world cup unbeaten!
Timu JAPAN wenzangu tukutane hapa kina toyota na suzuki inamoto nk. Team Japan tutaendelea kuangusha mibuyu na kombe litashuka Tokyo. Celebration za Japan zitamalizikia Jangwani unbeaten klabu kwa wananchi maana Japan tunabeba ndoo ya world cup unbeaten!