Time imefika naswitch on again...

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,033
Reaction score
2,124
Habari za jumapili bandugu ndugu.. Eheee salamu jambo la kheli.. Maisha sio Bongo movie.

Ukinishangaa nakushangaa kisha tuna shangaana ndio mwendo wa Time hii.. Time ya kuandika historia kwa kizazi chako.

Kama kawaida kuku kuku jogoo jina na matako ya sufuria hayaogopi moto kudedekuuu jombiii.... kudeka kwa Mama pekee... Dunia kupambana. Pesa sababuni ya mwili ( Domo wa sasa na wazamani yote Maisha)

Hii ni Tanzania yangu lazima nijivunie Nchi yangu na Nchi yangu ijuvunie mimi. Aaahaaaa haaahaa ukinielewa yanakuwa mswaaaaaano kijaa people people.... msaka Wekundu msimbazi kama vile boss waaaaaaoooo..... Watu waaaawaaaaooooh

Nachange gia juu kwa juu najitokeza napenyeza Upendo navuna MA Upendo, uhaminifu na kusaka chambi chambi mwendo wa TZ 11.. mabadiliko ni sasa historia mpya inaandikwa katika kizazi changu... Ooohooo Mungu bariki usawa ulioletwa na Dr Mwalimu Baba Presdaaaa... Watu watafutaji tusemeeee woyoooooo woyooooooo.

Mwenzenu nasikia raahaaaaaaa....usiulizee rahaa gani? Ntakujibu am going to the next level with my family.

Mungu akubariki sana Rais wangu na ndugu zangu wote maana tunategemea na wote ni kitu kimoja..

RIP Kibs uliniondoa stress sana na pia ulinipa Elimu zaidi jinsi kuipa Familia Upendo... Ndoto zangu ni kuja kuwa jirani na nyumba yako ya Mbezi sitaogopa gharama kwani gharama tayari naitoa kusaka Pesa.


Maumivu ni muhimu nayabeba kisha nayatupa ki Future... R. I. P Ruge wote tumaini letu ni moja Allah pekee.


Leo sijui nimekula kitu cha wapi...!!? Yethuu wangu!! Eti nisaidieni nimekula kitu cha wapi jamaniii mi... mie? Au naota but isn't Bongo movie..

One love for all.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaskia rahaaaaaa Eeeeh![emoji85]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Rahaa sana kuwa Daraja la familia yako, image kutoka kucheza na nyani shambani.. leo hii sehemu ya kulala napanda na lifti..!! Sitachoka kufanya kazi kwa bidii na kwa malengo. Asante mweshimiwa Rais kutupa thamani yetu Watanzania wapenda kufanya kazi, nakuhaidi nitafanya kazi kama Punda.

Ndoto yangu kuwa mlipa kodi mkuuuuuubwa kwa maendeleo ya Taifa langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…