MwanaSaikolojia Senior Member Joined Jan 9, 2015 Posts 197 Reaction score 62 Nov 9, 2015 #1 Habari, Nimesikia Tigo wametoa ofa ya bure dakika 10, sms na Mb . Ila nimesahau namna ya kujiunga maana nlisikia tangazo redioni.
Habari, Nimesikia Tigo wametoa ofa ya bure dakika 10, sms na Mb . Ila nimesahau namna ya kujiunga maana nlisikia tangazo redioni.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,261 Nov 9, 2015 #2 andika neno BURE tuma kwenda namba 15304
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,162 Reaction score 30,627 Nov 9, 2015 #3 sio bure, wanafidia usumbufu na hasara za mamilioni walizowapotezea watu jana kwa kutokuwas hewani kwa zaidi ya masaa kumi
sio bure, wanafidia usumbufu na hasara za mamilioni walizowapotezea watu jana kwa kutokuwas hewani kwa zaidi ya masaa kumi
X xrotcivx Senior Member Joined Jun 12, 2013 Posts 106 Reaction score 90 Nov 10, 2015 #4 Dial *148*00# kisha chagua namba 6 FREE PACK