KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
The same to me......Kumbe siko peke angu mwanzoni nilihangaika sana kila nikipiga naambiwa chunguza namba mpaka kuja kugundua ilinichukua muda kweli sijui wamevurugwa na nini :A S-confused1:
Leo wameanza na wao utaratib wa MB 8 kama voda,,,,,yaan wanaboaaaaaah.!!
Wiki ya pili sasa TiGO sasa wanatupatia usumbufu usio wa lazima; sijui mimi tu na nyie wenzangu yanatokea kwenye simu zenu! Ukipiga simu ambayo imekuwa saved wanaondoa sifuri.
mfano 0719666099 inakuwa 719666099 au km inaanza +255 wanaiondoa hiyo code kisha unambiwa ichunguze vizuri namba uliyopiga ukiiweka tena unapiga inakwenda.
Mwanzoni nilidhani simu yangu but simu ni 2chip artel iko mkide!
Ebu tusaidiane nini tatizo?
Go to hell tigo!!!. Am on ma way to zantel.
Naomba msaada, hivi kujiunga zantel mitandao yote unafanyaje. Naona niachane na wezi wa bara, ngoja nijaribu zenjiGo to hell tigo!!!. Am on ma way to zantel.
Zantel ndo habari ya mjini kwa sasa,,Go to hell tigo!!!. Am on ma way to zantel.
Hivi hatuwezi kugoma ata siku tatu wapate hasara ili na wao wajifunze?