me mbona natumia tigo na iko fresh,pengine labda location yako
Hapa nimeacha mb ki bao za tigo nimehami halotel yani inakamua balaa, nikiweka tigo natamani kupiga simu chini
Tigo mnaweza kutueleza! Nipo katikati ya jiji tech inaonesha H+,baada ya dk inabadilika na kuwa 3G baadae E.The same spot Why!!.
We muhaya mahamzi ndio nini?Hongera kwa mahamzi ya busara, hii mitandao mingine vimeo tu
Hivi inakuaje binadam Wa karne hii unalalamika kila muda????..... Yani tupo kwenye soko huria kuna utitiri Wa mitandao inayotoa huduma bora za internet zaid ya huo mtandao wa tigo MTU analalamika tuuuuuuuuu....
Tuamke watanzania sio kulia... Mimi nilichukia hatua nipo halotel internet fresh..