Lol!, mkubwa alivyojieleza, hii kitu uisikie tu, usiombe ije ikukute (more esp. ktk nchi baadhi mbelembele huko).
On the other side of the game, nafikiri Golf inahitaji alot of Meditation ili kuweza kucheza na kushinda, ktk current state of mind ya Tiger will he be able to bounce back ASAP?
Anyways hii kitu mapenzi hata Ngoswe aliharibu kazi, ni ngumu sana, hivi ww unayesoma post yngu hii hapa chini hujawai cheat kwa mme/mke au mpz wako kweli?, if YES, then put ur thanks down here! Lol!!...
BTW; mm sioni option ya 'thanks' kwa my own post, may i would have 'tried' to put it..tehetehe!
Hahahahahaha Mkuu Manda unataka kujipa "thanks" mwenyewe siyo!?go ahead Board of directors ya JF wamekupa ruhusa hiyo ya kujigongea "thanks" lakini wapi unagonga kazi kwako...LOL!
Maria Roza?!!...Lol!, may be, unless the name represents ur actual gender,as i said, 'may be'...BTW, congs,'...
Bruh!..
As long as umeshindwa npa thanks wewe (which means **$#, hope waelewa nn namanisha) then let me nkupe 'thanks' ambayo itawakilisha 'thanks' yngu ktk post yangu...Lol!
BTW Ile kitu hata 'bubu' asiye taka kusema mbn atasema..Lol!
Tiger will be back at the Masters ......