L leromez Member Joined Aug 8, 2013 Posts 5 Reaction score 0 May 19, 2014 #1 Wakuu naombeni kuuliza aliye na habari za interview ya management accountant and assistant financial accountant walizotangaza ticts anijuze.
Wakuu naombeni kuuliza aliye na habari za interview ya management accountant and assistant financial accountant walizotangaza ticts anijuze.
S shuky01 Member Joined Feb 25, 2014 Posts 15 Reaction score 4 May 19, 2014 #2 Pale ni kujuans kwa sana ndugu yangu, kama huna unae mfahamu wewe kausha tu unawezakuta watu walishaanza kazi kitambo na mshahara wamesha pokea. Kama unamtu unamfahamu ndo umuulize akupe updates.
Pale ni kujuans kwa sana ndugu yangu, kama huna unae mfahamu wewe kausha tu unawezakuta watu walishaanza kazi kitambo na mshahara wamesha pokea. Kama unamtu unamfahamu ndo umuulize akupe updates.