Hospital unamuona daktari wa uzazi au general doctor? Kama ulimuona daktari wa uzazi hakukushauri uende na mume wako?
Wanaume wanadhani wao hawana matatizo ya uzazi ila wanayo na yanatibika nenda na mume wako mpate vipimo wote wawili
Sent from my SM-A125F using
JamiiForums mobile app