Habari wadau, naomba kufahamu mtu anayejua tiba ya mwiba, mzazi wangu amejichoma nao leo siku ya tatu maumivu yanazidi. YOYOTE MWENYE KUFAHAMU TIBA NAOMBA MSAADA
Mkuu ukichomwa mwiba halafu ukavimba hivyo ujue linataka kuzaliwa jipu!..hilo tayari ni jipu lazima dawa ya asili unayosema ya kulizuia,pia kuzuia kuvimba najua aina mbili ila ni majani mabichi unayoponda na kupakaa apone!

Alijichoma mwiba wa mti gani?
Kama ni mchongoma una tabia hiyo ya kusababisha mguu kuvimba. Dawa achemshe mafuta ya kupikia halafu ayapake hapo kwenye jeraha kwa kutumia nyoya ya kuku yakiwa ya moto.