Sawa mkuu angalia usije kujilaumu acha niingie mawindoni.Wanajifahamu comrade
Ndugu yangu mbona umenikosea kunipa taarifa zisizo na ukweli.Carba na neybright unamuachia nani
Wapenzi watatu boraHakika nawapenda kupitiliza popote mlipo my babies nawapenda sana
Nataka mjue kuwa triangle hii ya upendo ni eternal jf
Vizabizabina wasiotutakia mema na kutuombea tufarakane ninamuachia Mungu
Nawapongeza kwa kutokuwa na tamaa ya pesa wala magari mmelizika na morano yangu
Hela yangu ya u DJ inawatosha kubadili mboga na kula bata viwanja mbalimbali
Tupendane daima dawamu mababy wangu
Hahahahaaaa
Yes 4 sureHahahahaaaa
Hapana mkuuDah mkuu unakataa ilihali hata jose anajua askari
Sheikh yule yule ila kavaa kanzu tofauti.
Hunter mimi nimeishia hapo..sitaki kuingia ndani zaidi hahahaSheikh yule yule ila kavaa kanzu tofauti.