DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,323
Hakika nawapenda kupitiliza popote mlipo my babies nawapenda sana
Nataka mjue kuwa triangle hii ya upendo ni eternal jf
Vizabizabina wasiotutakia mema na kutuombea tufarakane ninamuachia Mungu
Nawapongeza kwa kutokuwa na tamaa ya pesa wala magari mmelizika na morano yangu
Hela yangu ya u DJ inawatosha kubadili mboga na kula bata viwanja mbalimbali
Tupendane daima dawamu mababy wangu