Threads na Post, tofauti ni nini?

Kwako wewe kuuliza ni uvivu eeh???!!! Pole

Kuuliza sio Uvivu, bali uvivu ni kuuliza swali ambalo liko ndani ya uwezo wakom ushauri umepewa mzuri TAFUTA KAMUSI
 
Kuuliza sio Uvivu, bali uvivu ni kuuliza swali ambalo liko ndani ya uwezo wakom ushauri umepewa mzuri TAFUTA KAMUSI
Wewe una uhakika gani kuwa liko ndani ya uwezo wangu?
 
thread ni link yako mwenyewe unayoanzisha and then unasubiri wengine wachangie,kama swali lako linavyouliza hiyo ndiyo thread.Post ni mchango wako kwa thread za watu wengine,kama nilivyofanya kwa swali lako.Lakini thread kwakuwa thread inakuwa posted,nayo pia ni post.DISCLAIMER Maana hii imejikita katika mazoea zaidi si ya kitaalamu
 
Wewe una uhakika gani kuwa liko ndani ya uwezo wangu?

nina uhakika liko ndani ya uwezo wako kwa sababu huko humu JF na unatumia zote Threat na Post, katika kuwakilisha uujumbe wako, kama ungekuwa hujuhi usingekuwa humu

kaaaaaaaazi kwelikweli
 
Asante Mkuu Mayenga, uzoefu wako umekuwa muhimu kuliko utaalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…