Thread maalum kuhusu bei ya mazao sokoni

Mtafiti Madini

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
101
Reaction score
38
Wakuu wajasiriamali na wadau wengine salaam,

Ningependa tuutumie uzi huu kupeana update za bei ya mazao mbalimbali kwenye masoko mbali mbali nchini.Update hizo za mara kwa mara zitawasaidiwa wakulima na wafanyabiashara kujua bei ya mazao wakati wote na hivyo karahisisha biashara na kuchochea maendeleo.

Nashukuru.
 
Kibaigwa Soko la Kimataifa

Mahindi 560/520 @ kg.
Mbaazi 2200 @kg
Alizeti 760 @kg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…