Lakini nawe ukumbuke ulionywa mno, kwanini husikii lakini?
Utakujakosa mwana na maji ya moto, na ujue wasichana wa Mbeya hawapendi kabisa mtu anayenaniliu,shauri yako.
hahaaa mpwa kwisha habari yako/chali!!!! ndo malipo hayo mpaka yaishe siju lini (nachelea kusema na mda utakuwa umeenda) hahaaaa lol!!
Amini usiamini nikiwa Vekesheni nikakumbana na mrembo mmoja maeneo ya Mwanjerwa huku na huku ikabidi nimvute chemba kidogo katika maongezi ya hapa na pale story za mapenzi nikamtumbukizia JF akadai anaipata vizuri sana akawa ananitajia hadi members kama ZD, Nguli, MJ1, Nyamayao, Xpin, Kaizer, Geoff, Fidel, F1,bht, carmel na wengineo mm si nakamwambia mi ndo Fidel duh mtoto akabadilika yaani neno kujiexpress likawa ndo agenda ya kunikimbia akaniambia wewe si ulitangaza unastaafu kujiexpress mbona kama hujaacha na unarudia rudia kuliongelea? Jamani nikawa sina kauli nikamwambia ndo hivyo niamini kama huniamini waulize wapwaz dah mtoto akaondoka hivi hivi...ile thread ya kustaafu imenikimbizia mwali any way nahisi alikuwa mtoto wa geti kali au mboga saba yule.
pole sana....ndege wako hayuko tena nawe...Jamani nikawa sina kauli nikamwambia ndo hivyo niamini kama huniamini waulize wapwaz dah mtoto akaondoka hivi hivi...ile thread ya kustaafu imenikimbizia mwali any way nahisi alikuwa mtoto wa geti kali au mboga saba yule.
duuuuuh! hiyo noma fidel80,subiri tukuanzishie thread ya kukusafisha!!!Mnisafishe jamani mbona nilisha acha toka longtime mna maana sisafishiki?
Jirani jifunze hivi!!,siku za mwanzoni usiwe wazi sana kwa Mpenzi mpya,unaweza kuwa mwizi/jambazi ukimwambia habari hizo mpenzi mpya anaweza ingia mtini,but ukisha zoeana naye unaweza mwambia habari kama hizo baada ya kujua kama anaweza tunza maneno unayomwambia!!!
Badilisha hiyo signatureMaana wengi wananiona sifai hata kuwa binadamu naogopwa jamani
Badilisha hiyo signature
I will be happy if and only if what you wrote is what you mean!Jirani jifunze hivi!!,siku za mwanzoni usiwe wazi sana kwa Mpenzi mpya,unaweza kuwa mwizi/jambazi ukimwambia habari hizo mpenzi mpya anaweza ingia mtini,but ukisha zoeana naye unaweza mwambia habari kama hizo baada ya kujua kama anaweza tunza maneno unayomwambia!!!
Jirani jifunze hivi!!,siku za mwanzoni usiwe wazi sana kwa Mpenzi mpya,unaweza kuwa mwizi/jambazi ukimwambia habari hizo mpenzi mpya anaweza ingia mtini,but ukisha zoeana naye unaweza mwambia habari kama hizo baada ya kujua kama anaweza tunza maneno unayomwambia!!!
Hapa jirani nimesha jifunza neno.
Kumbe n'tu ukiwa muwazi na kueleza fikra zako unakosa kifaa hivi hivi sasa naamini mbinu za uongo ndo nzuri kupatia vifaa.