Wakuu heshima kwenu nyote!
Nnamiliki gari aina ya chaser raffine; tatizo unapoliwasha huwa linawaka kama kawaida, ILA nnapotembea kama kilometer 10 au zaidi hivi na kulipaki, haliwaki tena angali taa za kwenye dashboard zinawaka! Then ukikaa baada muda mostly i guess baada ya engine kuonekana kama imepoa inawaka!!! Nmepeleka kwa fundi akafungua starter na kuirekebisha ila tatizo bado lipo palepale!!! Wakuu nijuzeni what will be the permanent solution, I'm realy tired of this....!!! Shukran kwenu wakuu.
Lipeleke kwa mafundi wa uhakika (gereji za kichina watakushauri) watakwambia kama haliwezekaniki uweze fikiria jinsi ya kupata gari jingine
Inaweza kuwa control Box jaribu kwenda kwa wataalamu wa umeme wanaojua sio wale wa kubadilisha indicator na kutest gari
Lipeleke kwa mafundi wa uhakika (gereji za kichina watakushauri) watakwambia kama haliwezekaniki uweze fikiria jinsi ya kupata gari jingine
Computer box. Au airflow sencer ina matatizo
Wakuu heshima kwenu nyote!
Nnamiliki gari aina ya chaser raffine; tatizo unapoliwasha huwa linawaka kama kawaida, ILA nnapotembea kama kilometer 10 au zaidi hivi na kulipaki, haliwaki tena angali taa za kwenye dashboard zinawaka! Then ukikaa baada muda mostly i guess baada ya engine kuonekana kama imepoa inawaka!!! Nmepeleka kwa fundi akafungua starter na kuirekebisha ila tatizo bado lipo palepale!!! Wakuu nijuzeni what will be the permanent solution, I'm realy tired of this....!!! Shukran kwenu wakuu.
Wakuu heshima kwenu nyote!
Nnamiliki gari aina ya chaser raffine; tatizo unapoliwasha huwa linawaka kama kawaida, ILA nnapotembea kama kilometer 10 au zaidi hivi na kulipaki, haliwaki tena angali taa za kwenye dashboard zinawaka! Then ukikaa baada muda mostly i guess baada ya engine kuonekana kama imepoa inawaka!!! Nmepeleka kwa fundi akafungua starter na kuirekebisha ila tatizo bado lipo palepale!!! Wakuu nijuzeni what will be the permanent solution, I'm realy tired of this....!!! Shukran kwenu wakuu.
mkuu wala usipate tabu, nilikuwa na tatizo kama lako. Yaani gari ikiwa imoto haipigi, ikipowa inapiga. Hizo itakuwa BRUSH za SELF ZIMEKWISHA. Sasa tafuta fundi mzuri aifungue SELF akubadilishie BRUSH. Mimi ilinigharimu kama elf 20 tu, na huyo aloifungua alikua wala si fundi ni kijana tu mzoefu.