Kwa mfano mwanaume anapika mkewe anafanya nini? Anaangalia tamthilia? Bachelors kama sisi ndio ukija siku ya kwanza, narudia siku ya kwanza nitapika msosi wangu wewe utakaribishwa kula(sikupikii) ukija mara ya pili utapika tu.
Utundu in a good wayHeeey Darmiii mambooz
Jamaniii,mwenzio nnavyojitahidi kuwa mpole kumbe bado naonekana mtundu looh aahahahhahaaaaa.
Natabasamu tuu hapaa...
Maisha ya tv hayo mnayaweza nyie.Jamani double R mbona unakuwa hivyooo..... Kwanza utambue hutopika kila siku, pili siku utayopika ni wewe unakuwa umeamua kumbebisha bebi wako na saa ingine inakuwa ni njia ya kuomba mechi yenye manjonjo (maana siku huwa hazifanani, kuna siku mechi inakuwa vionjo kibao na kuna siku mechi inakuwa from one goal keeper to the other, hapa katikati doorooo).
Sasa ukija na vionjo vya kupika it's more of a psychological twist to a women, and only if you have that that kind of a women. Maana mwananke mwingine ataishia kukuudhi tuu na utaunguza kila kitu jikoni na chakula hakitalika na masimango juu aahahahahhaaa, yaani atakukatisha tamaa hutotamani kuingia tena jikoni. Ila ukiwa na mwanamke artist, hutochoka kufanya nae kolabo ya mapishi jikoni, kufua, kupanga nguo kabatini, kufanya usafi wa nyumba au gereji, kutengeneza bustani ya maua au mboga mboga and the like.
View attachment 1201579
Inakuwa hivi double R, ukiwa Unapika babe anakuwa pembeni yako na mnakuwa mnaongea sweet nothing words...
View attachment 1201580
See Kasinde and Dadii preparing veggie salad for dinner.
Inabidi nije nikufunde ili siku ukioa, wifi yangu asipate tabu looh, unaniangusha wee midlif krisis aahahahahhaaaa.
Kasinde Platinum Matata.
Wewe pika huko....mimi naangalia mpiraWe just cook together teasing and fucking till the food is ready.
Aahahahahaaaaa hatuwaachi pekeyao jikoni, tunakuwa wote began kwa bega na tunaonja pamoja....
View attachment 1201582
Namna hii jiko litaunguaje... hehehehheeee
Mi nitakuwa nakuja kukushika tako wakati unapikaAcha ukorofi banaa, sio kila siku wala kila mara, can be once in two years...
Midlif krisis weeh eehehehehheee.
Mi nitakuwa nakuja kukushika tako wakati unapika
Habari ya jumamosi wadau.
Niko bongo kwa kitambo tuu, leo mchana niliingia gereji kukagua toyo yangu iko poa kuingia kitaa? Sasa wakati nachokonoa mavitu kwenye boneti nikakwama mahali, nikahangaika weeh mwisho nikasema kwa nini nisimuulize Ticha wangu anikwamue huu umakenika?
Kweli nikamuendea hewani akanielekeza namna na mahali nigusanishe nyaya... Waaaraaa toyo ikawaka.
Nikafurahi nikampigia ticha kumshukuru, halafu nikaendeleza stori akaniambia Kasie unajua niko jikoni napika... Woow nikahamaki, ticha unapika nini? Akasema supageti za beef na veggies, Kasie baadae nna wageni napika akamalizia hivyo na kukata simu.
Daah akanipa wivu, nikaachana na mambo ya toyo nikaingia jikoni, kila kitu kitu kipo, nikatoka nje nikawaambia majirani wanne msipike leo naingia jikoni kwa ajili yenu. (Msiulize majirani wa kike au wa kiume).
Wapi nazi, wapi mazagazaga, wapi mchele... Taadaaa saa moja na nusu usiku msosi tayari. Nikapakua nikawaita jirani wale.... Wamefurahia mapishi ya chukuchuku...
Karibuni nanyi mle kwa macho.
View attachment 1201115
Wali wa kusteam.
View attachment 1201117
Njegere za nazi na mambogamboga (carrots, hoho, biringanya, nyanya chungu,viazi, bamia)
View attachment 1201118
Papai..
View attachment 1201120
Sahani yangu ina nyongeza ya magimbi na mihogo... Wali kidoogoo.
Namshukuru Maulana, majirani baada ya kushiba wakaosha vyombo sasa natupia vitu laini kulainisha koo...
View attachment 1201126
Ticha Jael, asante kwa kunipa hamasa. Am happy for my Saturday. Cheers!!
Kasinde Platinum Matata.
That is possible for the woman at least knows what's meaning of love those who living in buza, kwa mtogole ,mwananyamala and like it's illusionππππππHapana, si umeona hapo, support inakuwepo asilimia 100%.
Behind any successful man (in cooking, cleaning, singing, dancing etc) there's a woman.
Bega kwa bega.
Kunyonya muhimu sana, maana huongeza ukaribu baina ya wapendanao...Aaahahhahahahaaa looh
Asante doctor, imebidi nirudi kukiangalia hicho kipunje cha kidole nilichokiweka....
Nisikubishie sana maana ndicho ulichoona, isitoshe kunyonya ni kitu wanaume huwa hawaachi eehehehehheehheeee
Thank you Doctor.