[emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza nimeingia tu ndani nimemuona amenyoa kama bodaboda wale wanao sikiliza singeli..[emoji3525][emoji3525]
Alikuwa amekaa sembleni anasikiliza nyimbo inamba maneno ya ajabu kabisa, sijui nininini gonganisha hasi na chanya...[emoji848][emoji848]
Alipo niona tu, akainuka akenda room yake, hapo akaisahau sim yake pale kwenye Kochi. Nilipo ichukua naisoma naona amesevu majina ya ajabu kabisa, kuna mmoja wanaitana Wechu huyu ndio nimeona wana andikiana maneno yenye adabu ndogo tupu.
Sasa kwa hasira hapa nimetoka kidogo nimeenda sehem ndio nimeagiza sanitaiza ndogo (K-Vant) ili nichafulie kichwa kwanza Kisha nirudi anieleze vizuri, maana jana pia nilipotoka kibaruani nilimkuta amekaa sebuleni huku anapiga mluzi.
Juzi nilimsikia anapiga mziki sebuleni unaoimba K ni K, sasa kabla sijatoka chumbani akabadilisha akaweka gospel.
Hapa napanga nikirudi nitamlia taimingi moja nimtandike rungu la ugoko ili kwanza asikimbie ndipo nimuhoji, maana sitaki kumkimbiza yasije yakanitokea kama ya kipindikile......
Nataka nimtie adabu kabisa....[emoji3525][emoji3525]
Ndio mkuu, kuna siku nilikuwa naingia kwa nyumba nikasikia sebule nzima inatetemeka kwa lisauti la ajabu la nyimbo inaimba sijui Tango... nataka kula tango..... Alafu mwisho kuna limwanaume linamalizia Kata..kata...kataaa.....Hivi Si ndio wewe uliepigwa ngwala na huyo kijana?,nadhani imebaki tu kijana kakutia makofi
[emoji3][emoji3]Ndio mkuu, kuna siku nilikuwa naingia kwa nyumba nikasikia sebule nzima inatetemeka kwa lisauti la ajabu la nyimbo inaimba sijui Tango... nataka kula tango..... Alafu mwisho kuna limwanaume linamalizia Kata..kata...kataaa.....
Ile nabisha tu hodi, kijana akaanza kusikiliza tibisii wani na kipindi cha kutangaza vifo...
Sanitaiza natumia kawaida ili kupoza koo baada ya uchovu deili...[emoji39][emoji39][emoji39]
Mkuu, banzi napata wapu na wauza mbao wamesha funga mida hii....[emoji849][emoji849]
Ndio huyuhuyu niliendanae shop kumnunulia nguo kwaajili ya kipaimara, cha ajabu akachagu jeans iliyo chanika kwenye magoti. Na ilikuwa inabei kuliko jeans ambayo haija chanika....[emoji53][emoji53][emoji53]mkuu pole....ila sikuhizi vijana wanazidi kuwa waajabu hivyo bijogoo vyao ni aibu kabisa hata kunyoa kijogoo kwa mbali hawawezi.....suruali ndo shida kabisa na wanapenda sana kuvaa kuliko kitu kingine....