Expert wangu hawa jamaa huwa siwaelewagi kabisa,,ngoja nisome comments
Nimejaribu kukuonesha kwa lugha nyepesi Mungu yupo, na amewai kuwepo kwa jinsi ya mwili,, emanuel.....Mungu pamoja nasi...sasa unaanza kubishana na ukweli....Wote tunafahamu na tunakubaliana kwamba Harry Potter ni kitabu cha hadithi ya kufikirika.
Japo kuwa kimesheheni maelezo yanayolenga kuelezea mazingira ambayo ni halisia yaliyopo na yanayothibitika.
Lakini ni wazi kuwa hatuwezi kuchukua hiyo kama hoja ya sisi kukubali hadithi ya kwamba Harry Potter alisoma chuo cha uchawi na aliusaidia ulimwengu dhidi ya Voldemot.
Lakini vipi kama kungekuwa na uthibitisho uonaonesha kuna mtu aliyewahi kuwepo anaitwa Harry Potter anaishi Uingereza?
Vipi kama mtu huyo akaenda mbali akakuonesha na picha yake kuthibitisha Harry Potter yupo?
View attachment 3205224
Sasa umeshapewa uthibitisho unaoonesha Harry Potter yupo. Naanza kuamini kuwa sasa huna shaka na masimulizi yote uliyowahi kuyasikia kuhusu Harry Potter.
Na kama haijakufanya uamini then kwanini ufikirie masimulizi ya kitabu chako kuhusu Yesu yataweza kum convice Atheists akubaliane nayo kisa tu kuna ushahidi wa kihistoria unaoonesha kuwa mtu aliyeitwa Yesu alikuwepo?
Tumethibitisha kwa lugha nyepesi , Yesu kristo ni Mungu katika umbile la kibinaadamu...sasa swali lako liwe tuthibitishe kama Yesu kristo amewai kuwepo duniani...ila swala la Mungu tumefungua yupo ...ndio Yesu kristo kwa jinsi ya mwiliHujathibitisha bado, thibitisha kuwa Mungu yupo?
1 Wakorintho 14:38Wote tunafahamu na tunakubaliana kwamba Harry Potter ni kitabu cha hadithi ya kufikirika.