Ila walijuaga wenyewe kuja kwa mikwara, mashauzi mengi, kiingereza kama chote, kujifanya show Yao ni ya kzungu tu , sasa wangeendelea na hiyo slogan Yao , wangeishia kumhoji Vanessa mdee pekee na hiyo show wangeangalia wenyewe.
By the way , what happened to Penny? She is no more on the show ama? Ki ukwel apart from Anitha, Penny she was a spicy bwana, yan alikua na vibe kama lote, huboek, that chick has got swagg, full of energy , but now simuon tena au Sijui ndo mkataba umeisha au wamegombana?
The second season is more boring than the previous , kwanza ma host hawajachangamka, Wasanii wanaowahoji they don’t have enough communication skills yani hawajui kujielezea hata kwa kiswahili, yan show imepoa kama mb** ya juma lokole, yan walivyoiweka kwa kiswahili ndo naona imeboa kabisaa, hao wakina jackline wolper na Irene uwoya yan wanavutia tu kuwaona kwenye Instagram ila sio kwenye Tv, maana hawajui kuongea japokua ofcourse ni wazuri wanavutia ila kichwani zero .
Yan bongo nasemaga star ni Vanessa mdee tu , wengine wote they should learn from her, how she behaves and brand herself , ni karembo kuanzia nje mpaka kwenye ubongo
Kwa kweli hao mastar uwaone tu wakiweka caption za #achaunafikiuendembinguni#
Wakihojiwa unaweza utamani ulie.
Ndo mana bongo live interviews huwa hazinapati ile mvuto!
Giggy anaonekana chizi but ana akili yule binti!
Basi tu!
Ukifanya nae kipindi unajikuta kuna vitu unajifunza!
Hawa wengine wanaoshika shika nywele hawa!
psyuuuuuu!!!!

yes Lulu amebadilika!Atleast lulu kidogo anajitahid siku hiz
Kwa kweli hao mastar uwaone tu wakiweka caption za #achaunafikiuendembinguni#
Wakihojiwa unaweza utamani ulie.
Ndo mana bongo live interviews huwa hazinapati ile mvuto!
Giggy anaonekana chizi but ana akili yule binti!
Basi tu!
Ukifanya nae kipindi unajikuta kuna vitu unajifunza!
Hawa wengine wanaoshika shika nywele hawa!
psyuuuuuu!!!!
Iko Etv kila j5 sijajua saaHiyo show mbona me sijawahi kuiona inaonyeshwa wapi saa ngapi Na lini
Naona kingereza kimekua kingi kwel siku hizi kwenye sred zakoIla walijuaga wenyewe kuja kwa mikwara, mashauzi mengi, kiingereza kama chote, kujifanya show Yao ni ya kzungu tu , sasa wangeendelea na hiyo slogan Yao , wangeishia kumhoji Vanessa mdee pekee na hiyo show wangeangalia wenyewe.
By the way , what happened to Penny? She is no more on the show ama? Ki ukwel apart from Anitha, Penny she was a spicy bwana, yan alikua na vibe kama lote, huboek, that chick has got swagg, full of energy , but now simuon tena au Sijui ndo mkataba umeisha au wamegombana?
The second season is more boring than the previous , kwanza ma host hawajachangamka, Wasanii wanaowahoji they don’t have enough communication skills yani hawajui kujielezea hata kwa kiswahili, yan show imepoa kama mb** ya juma lokole, yan walivyoiweka kwa kiswahili ndo naona imeboa kabisaa, hao wakina jackline wolper na Irene uwoya yan wanavutia tu kuwaona kwenye Instagram ila sio kwenye Tv, maana hawajui kuongea japokua ofcourse ni wazuri wanavutia ila kichwani zero .
Yan bongo nasemaga star ni Vanessa mdee tu , wengine wote they should learn from her, how she behaves and brand herself , ni karembo kuanzia nje mpaka kwenye ubongo
umerogwa weweIla walijuaga wenyewe kuja kwa mikwara, mashauzi mengi, kiingereza kama chote, kujifanya show Yao ni ya kzungu tu , sasa wangeendelea na hiyo slogan Yao , wangeishia kumhoji Vanessa mdee pekee na hiyo show wangeangalia wenyewe.
By the way , what happened to Penny? She is no more on the show ama? Ki ukwel apart from Anitha, Penny she was a spicy bwana, yan alikua na vibe kama lote, huboek, that chick has got swagg, full of energy , but now simuon tena au Sijui ndo mkataba umeisha au wamegombana?
The second season is more boring than the previous , kwanza ma host hawajachangamka, Wasanii wanaowahoji they don’t have enough communication skills yani hawajui kujielezea hata kwa kiswahili, yan show imepoa kama mb** ya juma lokole, yan walivyoiweka kwa kiswahili ndo naona imeboa kabisaa, hao wakina jackline wolper na Irene uwoya yan wanavutia tu kuwaona kwenye Instagram ila sio kwenye Tv, maana hawajui kuongea japokua ofcourse ni wazuri wanavutia ila kichwani zero .
Yan bongo nasemaga star ni Vanessa mdee tu , wengine wote they should learn from her, how she behaves and brand herself , ni karembo kuanzia nje mpaka kwenye ubongo
She is a lawyer my nigga she knows how to be and what to be..kale kaskeleton kanajua kujibrand na kujiweka top class, na men wanaweza kushawishika nako kwa sababu kapo vizuri upstairs