the place to enjoy

Ayaa kafanywa nini tuna kanisa letu na tulitaka yeye ndie awe mgeni wa heshima kwenye harambee,tulitegemea tuvuna mamilioni kutoka kwenye michango ya marafiki zake,sasa bila ya kuitangaza hiyo michango na harambee hela hazitoki uwiii uwiiii jamani,CCM inafanya mambo gani tena kama ilivumilia muda wote sasa kulikoni?Wamwache muheshimiwa sana azidi kuwa ATM ya makanisa bana
 
wala usiwe na wasiwasi, wao si wamembania kulia yeye mwendo wa kushoto, kuanzia sasa atakuwa ananituma mimi kuhudhuria hizo shughuli zenu. ondoeni mashaka iliyoshindwa ni plan A sasa ni plan B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…