I agree its still very early but the thing about Miami tiring early is bogus. As a matter of fact Wade has been a slow starter in the past two series and eventually he picks it up, and Bron is just Bron he can take over a game anytime. Look for D-Wade and Bron to kick it up a notch and Bosh to be key since he is nice and rested. Shout-out to Battier and Chalmers for stepping it up!relax, chill, watch de game and learn buddy. Hawajafika fainali kwa kubahatisha, kama uonavyo strategy yao ya kuhakikisha by half tym gap ya points inakua ndogo, Miami ni timu ichokayo mapema sana, na hawa umeona wanaweza mbana na kumpunguzia makali Queen James, kwa hiyo subiria qtr ya 4 iishe ndo ufunge mahesabu.
ndio shida ya kufuatilia mechi moja na ku conldue mambo, unajua jinsi perkins alivyoweza improve defense ya okc mwaka huu wewe[/QUOTE
Usiwe na jazba Mtaalam mie naongelea Game ya leo na ndomana nimekasirishwa naye sababu najuwa alichofanya nyuma yeye na Ibaka hawa Miami sitaki washinde ila leo charlmer na battier wanaziona 3.
Wanarudi lini? robo ya tatu/ nne?
ndio shida ya kufuatilia mechi moja na ku conldue mambo, unajua jinsi perkins alivyoweza improve defense ya okc mwaka huu wewe[/QUOTE
Usiwe na jazba Mtaalam mie naongelea Game ya leo na ndomana nimekasirishwa naye sababu najuwa alichofanya nyuma yeye na Ibaka hawa Miami sitaki washinde ila leo charlmer na battier wanaziona 3.
hapo umenena heko! Ts jus a 1pt game nw baby!
Sefolosha anasoma sana mchezo
Sefolosha anasoma sana mchezo
kuna mkongoman na msauzi wanapiga ndefu, wakwetu yupo anapigana na vibajaji
manina'''
kuna mkongoman na msauzi wanapiga ndefu, wakwetu yupo anapigana na vibajaji
manina'''
Mpuuzi sana yule dogotena unaweza ukakuta hata hizi games haangalii yuko busy kukimbizana na kina jokate na wema!
Can you imagine Madevu was picked behind 'The Big Tanzania'?
Alizaliwa switzerland, ndio maana kachukua uraia wa kule.wazazi wake wanaishi switzerlandjamaaa ni kibaka kweli kweli, anajua kuiba mpira kinomaaa.
Jus heard baba yake ni Msauzi Africa, mama ni mFaransa ila yeye ni mSwitzerland! Duh
because he showed positivity na energy, the big Tz was not confident