Januari 12, 2013
Uwanja: Amani
Mjini: Zanzibar
Mashindano: Mapinduzi Cup
Timu:
Tusker Fc toka Kenya, mabingwa wa ligi ya Kenya KPL na
Azam FC ya jijini, Dar-es-Salaam
Makocha: Stewart Hall (kocha msaidizi Kalimangonga Ongala) wa Azam FC na Robert Matano wa Tusker Fc
Waamuzi: Ramadhani Ibada (Mwamuzi mwenye beji ya FIFA)
Mechi live baina ya
Azam Fc Vs Tusker Fc kupitia link hii ya STARTV
Radio Free Africa Tanzania-|- STARTV LIVE
High-lights:
Dakika ya 90 za kawaida: Azam Fc 1 - Tusker 1 wafungaji
Dakika za ziada 30:
Dakika 93 Gaudence Mwaikimba aipatia Azam bao la pili hivyo Azam 2 - Tusker 1
Dakika ya 105 dakika za ziada mapumziko Azam fc 2 - Tusker 1
Dakika ya 123 Azam 2 - Tusker 1
Dakika ya 128 Azam 2 - Tusker 1
Dakika ya 130 mpira umekwisha Azam Fc 2 - Tusker 1
Azam yafanikiwa kuwa Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi cup kwa mara ya pili mfululizo. Kocha wa Tusker amelaumu kiwango kidogo walichoonyesha waamuzi kati mechi ya leo.
Timu zote za Azam Fc na Tusker zilikosa kuwatumia wachezaji kadhaa kutokana na wachezaji hao kutumikia timu za taifa za nchi zao yaani Tanzania- Taifa stars na Kenya - Harambee Stars.