Hebu Sema kitu kuhusu hawa jamaa, bahadhi yao walichaguliwa kujiunga chuo wakakata enzi hizo wakaamua kupiga mziki wa chakacha, reggae na ukawatoa, ukifika Mombasa, Malindi, Lamu n.k husemi kitu kuhusu wa jamaa..
Line up :
Teddy Kalanda, Henry Ndenge Saha, Ben Mutwiwa, Billy Sarro, George Zirro, John Katana,Pius Plato Chitianda "Jibaba" na Pritt Nyale