The last day we had good governance in Tanzania, A year ago, 5th november, 2015


Bahati nzuri sinaga muda wa kujibizana na mtu anaekuja kwa lugha isiyo na staha. Lugha ya vijisenti haijaanza leo labda nikukumbushe wakati wa Mkapa tulisikia wananchi ikiwezekana wale nyasi lakini ndege lazima inunuliwe. So hizo ni lugha za kisiasa. Na sisi tuliopo kwenye siasa haitupi shida.
 
Nilikua mmoja wa waliokuwa wanaandika mara kadhaa kuhusu utawala wake lakini aliweka uhuru (democrasia). Ikipatikana hiyo mengine yanaweza kuwa na unafuu. Kama umesoma neno kwa neno unaweza kuelewa zaidi

Tangu Umeandika Haya Nani Amekufunga? Uhuru Bila Utii ni Uwendawazimu. Embu Tufanye Research isiyorasmi tujue wale wanaoikosoa serikali na wakatiwa mbaroni yaani ina maana sisi tuliobaki ndio tunaisifia serikali? Kuna Pahala Tunakuza Mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…