Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
Wazee wenzangu Ndugu zangu
polen kwa majukum ila nashida
mwenye uwezo naomba anisaidie
Kama kuna mtu ananyimbo za iyo Band
wananjenje naomba anitumie
# Tupendane
[HASHTAG]#lambwa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#kinyaunyau[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Ndembele[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Ngugu[/HASHTAG] zangu
[HASHTAG]#Njenje[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Kinyama[/HASHTAG] nyama icho
zikiwa kwa video sawa ila itapendeza zaid ikiwa kwa Audio
plz naomben mnitumie izo nyimbo ila kama kama kuna mtu ananyimbo zaid ya Zilizopendwa anitumie plz
Shukran mungu awabariki
Na ndio maana nimekuja hapaKwa ulimwengu huu wa kijiji si una gugo tu na kujichagulia kama ni audio au kideo
Jiongeze ndugu!
Raha sana enzi izo buanaLong time kitambo Gogo Hotel
Dah...haya bhanaNa ndio maana nimekuja hapa
kuwa Fala au zuzumagic ni uamuzi wa kihiari wa MTU MWENYEWE. Hamna shule wanafundisha u zuzu.Kwa ulimwengu huu wa kijiji si una gugo tu na kujichagulia kama ni audio au kideo
Jiongeze ndugu!
Mtu mwenyewe mbishi kuelewa bado kang'ang'ana tumsaidiekuwa Fala au zuzumagic ni uamuzi wa kihiari wa MTU MWENYEWE. Hamna shule wanafundisha u zuzu.
ALIYELALA USIMWAMSHE UTALALA WEWE