Kumbuka pale unahitajika ukane hadi na dini yako, wakupe jina jipya na kadhalika. Bana ee!! hawa wanariadha huwa wana hela nyingi na wanaishi kama wafalme tayari, na wanashabikiwa na kupendwa sana nchi yote, hamna kiasi cha hela kinachoweza badilisha hayo yote.