mungu akubariki sana vincent nyerere na makamanda wengine joseph mbilinyi,godbless lema,ezekia wenje,salvatory machemli,higness kiwia,joshua nassari, mch.peter msigwa, kasulumbayi mhoja,oplukwa meshack,prof.kahigi,anthony mbassa,silinde,selasini joseph hawa ni makamanda ambao wamekuwa imara,wameonyesha ushirikiano kwa uongozi kwa cdm na hata kwa chadema legends freeman mbowe,dk.slaa,said arfi,tundu lissu,john mnyika,halima mdee,ndesamburo,ben kigaila...!
na pia niwapongeze kwa kuweza kujinasua na mtego wa wakala wa ccm ndani ya chadema, ambae amekuwa akifanya juu chini kuweza kuwanunua viongozi wa cdm watofautiane na viongozi wao,
nadhani wakala mnamjua ndugu zangu..,ambae ameweza kuwanunua vijana wadogo kama habib mchange,mwampamba,juliana shonza,chagulani ili kuwasaliti viongozi wa juu wa cdm na hata kuwahujumu baadhi ya wabunge wenzake wa cdm kwa manufaa ya ccm..!