The Eagle VS The Dragon: Nani zaidi?

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,540
Hao wanyama ni alama ya mataifa mawili makubwa (USA na China) Wana maanisha nini?


 
Hapana China haiwakilishi na Dragon
Labda Qing dynasty. CHINA inawakilinywa Five star
 
Hapana China haiwakilishi na Dragon
Labda Qing dynasty. CHINA inawakilinywa Five star
Angalia national emblem Yawo mbona ni mvivu hata ku google. Hiyo five star ipo Kwenye flag Yao aka national colours
 
Apa nitarudi apa ni lazima nirudi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…