AbouZakariya JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,646 Reaction score 2,398 Aug 6, 2015 #21 aretaskimario said: Watanzania 80% hatujui kiingereza, sasa ukiweka mada kwa lugha hiyo ni kwamba unawanufaisha wale wanaojua ambao ni 20% . Nimeipenda tatizo lugha. Click to expand... Naam mkuu uko sahihi nami naliona hilo,twamuomba mleta uzi kama kuna tafsiri yake katika lugha yetu ya taifa ni bora sana.
aretaskimario said: Watanzania 80% hatujui kiingereza, sasa ukiweka mada kwa lugha hiyo ni kwamba unawanufaisha wale wanaojua ambao ni 20% . Nimeipenda tatizo lugha. Click to expand... Naam mkuu uko sahihi nami naliona hilo,twamuomba mleta uzi kama kuna tafsiri yake katika lugha yetu ya taifa ni bora sana.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 22, 2015 #22 Wenzangu naona mnatoa namba, kwani mnaunganishwa kwenye kundi gani? Mtoa mada hakusema kama anaunganisha watu sehemu Au mi ndo sielewi kidhungu?
Wenzangu naona mnatoa namba, kwani mnaunganishwa kwenye kundi gani? Mtoa mada hakusema kama anaunganisha watu sehemu Au mi ndo sielewi kidhungu?
dudupori JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 1,795 Reaction score 1,920 Aug 27, 2015 #23 Jimena said: Wenzangu naona mnatoa namba, kwani mnaunganishwa kwenye kundi gani? Mtoa mada hakusema kama anaunganisha watu sehemu Au mi ndo sielewi kidhungu? Click to expand... Hahaaa kuna mgao wa EPA humu itakua wa kimyakimya. Na mie niunganishwe tafadhali japo simu sina nitaikuta humu jukwaani.
Jimena said: Wenzangu naona mnatoa namba, kwani mnaunganishwa kwenye kundi gani? Mtoa mada hakusema kama anaunganisha watu sehemu Au mi ndo sielewi kidhungu? Click to expand... Hahaaa kuna mgao wa EPA humu itakua wa kimyakimya. Na mie niunganishwe tafadhali japo simu sina nitaikuta humu jukwaani.
Boloyoung JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 697 Reaction score 655 Aug 29, 2015 #24 Silence is the most powerful scream.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 29, 2015 #25 dudupori said: Hahaaa kuna mgao wa EPA humu itakua wa kimyakimya. Na mie niunganishwe tafadhali japo simu sina nitaikuta humu jukwaani. Click to expand... Ha ha ha ha
dudupori said: Hahaaa kuna mgao wa EPA humu itakua wa kimyakimya. Na mie niunganishwe tafadhali japo simu sina nitaikuta humu jukwaani. Click to expand... Ha ha ha ha
BALOTEL JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 667 Reaction score 894 Sep 1, 2015 #26 Niunge 0766687366
tahit Member Joined Aug 22, 2014 Posts 55 Reaction score 32 Sep 1, 2015 #27 Jimena said: Wenzangu naona mnatoa namba, kwani mnaunganishwa kwenye kundi gani? Mtoa mada hakusema kama anaunganisha watu sehemu Au mi ndo sielewi kidhungu? Click to expand... Alie anzisha ndio kuweka namba ndio kufanya watu waanze kuweka namba bila hata ya kusoma uzi vizr
Jimena said: Wenzangu naona mnatoa namba, kwani mnaunganishwa kwenye kundi gani? Mtoa mada hakusema kama anaunganisha watu sehemu Au mi ndo sielewi kidhungu? Click to expand... Alie anzisha ndio kuweka namba ndio kufanya watu waanze kuweka namba bila hata ya kusoma uzi vizr
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Sep 2, 2015 #28 tahit said: Alie anzisha ndio kuweka namba ndio kufanya watu waanze kuweka namba bila hata ya kusoma uzi vizr Click to expand... Kwahiyo mmeunganishwa huo uanachama baada ya kutoa hizo namba?? Ili kama vipi nami nifate nyuki ili niweze kula asali
tahit said: Alie anzisha ndio kuweka namba ndio kufanya watu waanze kuweka namba bila hata ya kusoma uzi vizr Click to expand... Kwahiyo mmeunganishwa huo uanachama baada ya kutoa hizo namba?? Ili kama vipi nami nifate nyuki ili niweze kula asali
tahit Member Joined Aug 22, 2014 Posts 55 Reaction score 32 Sep 2, 2015 #29 Jimena said: Kwahiyo mmeunganishwa huo uanachama baada ya kutoa hizo namba?? Ili kama vipi nami nifate nyuki ili niweze kula asali Click to expand... Ah mi sijaungwa nishwa bana nadhani hiyo kitu hamna
Jimena said: Kwahiyo mmeunganishwa huo uanachama baada ya kutoa hizo namba?? Ili kama vipi nami nifate nyuki ili niweze kula asali Click to expand... Ah mi sijaungwa nishwa bana nadhani hiyo kitu hamna