MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,352
- 11,231
They are legion in our midst, since we diluted our education by building brick and mortar structures without trained teachers or proper books. These anti-knowledge militants have effectively banished books from their lives, having discovered, no doubt, that books have the nasty habit of depriving us of ur boeloved ignorance.
Kinachovunja mbavu hapa nadhani ni taarifa yote, kwamba wakati dunia ipo kwenye high level ya technology, bado kuna watu wanakwenda kwenye ndumba na vikombe??? wakati taifa liliandikwa sifa nzuri kwenye ngazi za kimataifa sasa CNN inatuandika misurur mirefu kule samunge, wakati wenzetu wanajenga flyovers kukubaliana na hali ya maendeleo ya wanadamu sisi tunazungumzia utaalamu wa misukule wa kufufua wafu.
hii kweli ni kichekesho na ni kichekesho cha uchungu si cha furaha.
kinachotuponza ni pilau, kofia na elfu kidogo wakati wa kampeni za uchaguzi.
mkuu english yako nayo imekaa Ki-Mlugo Mlugo vile. Hebu isome vizuri post yako
Kwani Zimbabwe ni kisiwa kama ilivyo unguja na pemba?teh teh tehSijasoma sababu ni ya ki zimbabwe.
Mtampinga Julius mpaka povu liwatoke, ukweli unabaki kuwa enzi zile Tanzania ilikuwa na binadamu wenye thamani kuwavuta kina Che, siku hizi TZ ni mbuga kubwa ya kuvuna wanyama na maliasiri.Tanzania haijawahi kupewa sifa nzuri popote pale duniani!! wanasiasa uchwara wa Tanzania ndo huja kutudanganya kuwa Mataifa mbalimbali yanatusifu!! LIIAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAR!!
Sifa zote tunazopewa huko nje tangu enzi za nyerere ni zile zinazofanana na hiyo ya CNN!
Hebu jamani ondokeni kwenye hiyo nusu kaputi ya kuvishwa ukoka kuwa mna amani; wenye upendo, wakarimu and all those bullshits siadi by our politicians!!
zaidi ya kuelezea ukweli, sijapaona panapovunja mbavu. Tusaidiane kupatafuta
Shakespeare again, what kind of english is this? who does use this obscurantism in regular convarsation? Good writter never use a big words to confuse his readers
Nothing fan at all, tired with dictionary language
Help always wanted, edit for meEdit kizimbabwe chako na Mulugo, hakijatulia
Ooh poor guy, even the word obscure sends you to a lexicon. We have a big problem.Shakespeare again, what kind of english is this? who does use this obscurantism in regular convarsation? Good writter never use a big words to confuse his readers
Nothing fan at all, tired with dictionary language